Msituchoshe tunataka kubadilisha mwizi, mnasemaje??

Msituchoshe tunataka kubadilisha mwizi, mnasemaje??

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,812
Reaction score
2,360
Kila siku Lowassa fisadiii, Lowasa fisadiii, mje na hoja yenu hapa msituchoshe tunataka kubadilisha mwizi. Jamani miaka hamsini haijatosha bado? Waingie wezi wengine si mnasema hakuna jipya wanasiasa ni wezi tu mwaka huu tumeamua kubadilisha mwizi mtuache tumeibia sisi na tumeamua kumpa huyo huyo kama Kenya na Uhuru, shida iko wapi?
 
Bado Kajipange sana, Kwa Lowassa si kubadilisha mwizi sema tuendelee kumpa mwizi mzoefu alichofanya ni kubadili chaka tu la kujificha
 
Lowasa ni kiongoz wa kipekee atakae weza kunisaidia nchii hii maana alishajaribu na akaweza
 
mnajifanya mna huruma sana na sisi mkapa aliingia msafi ametoka ikulu na makampuni lukuki wamefanya biashara ikulu leo anatuita watanzania sis malofa na wapumbavu, kikwete aliingia ikulu watu wakiwa na matumaini sana aliyofanya ameuza nchi yetu imebaki kubadilishwa rangi yake. ndio mana tunasema hatuwataki lowasa katuibia sisi tumempenda sis shida yenu nini hatuwaamini ninyi tukikumbuka EPA, TANGOLD, MEREMETA, KIWIRA, TWIGA, TEMBO NA ESCROW mtuacheeee
 
Bado Kajipange sana, Kwa Lowassa si kubadilisha mwizi sema tuendelee kumpa mwizi mzoefu alichofanya ni kubadili chaka tu la kujificha

tumeshajipanga, tumeamua wenyewe wala wasiwasi kwa kuwa ninyi mmetuibia miaka yote hayo inatosha mtu wa ccm hata kama awe kama malaika mwisho wake ni uharibifu jina hilo ni laana
 
96305263.jpg

Fashion Forward

Singer Mary J. Blige arrives at the 52nd Annual GRAMMY Awards held at Staples Center on January 31, 2010 in Los Angeles, California.

Poa tu lakini mwizi kabafilika
 
Back
Top Bottom