NAOMBA MUNGU WAZO LANGU LIFANYIWE KAZI
Serikali iweke mji wa kisasa kule kupunguza msongamano mjin
Kuwe na majengo marefu ambayo yatatumika kwa makazi ya watu wa vipato vyote
Kuanzia wanaomudu kupanga kachumba na sebule hadi watakaotaka vyumba vinne
Kama yale ya Polisi Barracks, Mabibo Hostel na Usalama wa Taifa ambapo pia pana maeneo makubwa kwa kuegesha magari
Eneo kubwa la Michezo na Burudani.
Mall na viduka vya mangi na mpemba na soko
Shule zote,misikiti, makanisa, hospital na huduma nyingine za kijamii Ofisi mbalimbali zinazotoa huduma muhimu kwa jamii na hata mashirika yasiyo ya kijamii yapate nafasi za maofisi huko.
Visima vya maji kwa dharula (Sipajui vizuri sijui upatikanaji wa maji)
Kituo za ZIMAMOTO, TANESCO,Polisi......
Stand kubwa ya magari ya abiria
Kwa mawazo yangu tutakua tumepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la makazi na msongamano mjini