Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park


Povu ruksa...

Sasa nimeukubal utabiri wako 3-2 in favour of Man United..dah...soka haina adabu, Man City hoi....na ni FULL TIME
 
wewe nikudanganye nini,hujui mpira
wewe na refa wako ndio hamjui mpira...hata kudanganya hajui ..penati ya wazi kabisa anapeta ,sasa nimejua kwanini England hajachukkuliwa refa kombe la dunia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom