Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Manfongo kwaheri, kwa heri kwa heri nakutakia maisha mema
 
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park


Povu ruksa...
tayari 2-0 in favour of Man City hata kabla ya halftime, tusubiri tuone....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom