Pwembweleo
Member
- Mar 2, 2012
- 6
- 0
mbinu yao mojawapo ni kuwachaganya wapiga kura ili wizi wa kura uwe mrahisi. Mf wapiga kura kutoona majina yao kwenye vituo vyao vya kupigia kura. Haijalishi ccm imeshindwa kwenye kura lakini watamtangaza mgombea wao kwa nguvu. Ndipo hapo wengine roho zinawauma zaidiMkuu, hizo njano na kijani ulizivalia mitaa gani? kumbuka siyo asilimia 60 walioshangilia, pia kumbuka katiba yetu iliyopo hairuhusu kupinga matokeo sehemu yeyote ile, iwe mahakamani au kuandamana.