Nimekushusha sana CV kwa kusema eti JK alishinda 2010.Mental ill
Kawaida anayetangazwa kuwa ni Raisi ina maana ameshinda.
Hivyo mimi binafsi sioni kama mtoa mada amekosea. Na sisis wapiga kura kwa kuwa tuliridhika na matokeo ndio maana ameshinda 2010. mbona hatukukataa, na tukapita mitaani tunashangilia CCM, CCM, CCM, CCM,.......... TUMEVAA NJANO NA KIJANI.
TUKUBALI TU kwani hata Arumeru yatakuwa yale yale hakuna jipya.
Tutaishia kulalamika mbele ya keyboard tu, hakuna mpya.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Tukiamua tu tunawezaunajua mwenyezi mungu katuumba iumbe waajabu sana kwa kutupa elimu na utashi,hivyo tunauwezo wa kuamua kama kipi chema na kibaya. Ukilaumu waliopiga kura mwaka 2010 ni asilimia ndogo sana ya watanzania wote walioandikishwa kupiga kura,mbaya zaidi ni wasomi wanaoelewa umuhimu wa kura moja kwenye uchaguzi.tujiuliza ni bora wapi waliopiga kura au wasiopiga kura wanahaki ya kulalamika?na ukiangalia walalamikaji wote ni wale waliojiandikisha lakini hawaendi kupiga kura kwa kisingizio cha hawana muda au wanaogopa fujo.
Mbeya waliopiga kura 80% ni vijana walioamua mabadiliko na waliweza kubadilisha mbunge kutoka ccm kwenda chadema.watanzania tusipende kulalamika wakati wa kupiga kura tuamke sote tukapige kura tuone kama nec inaweza kubadilisha matokeo.tujajaribu sasa tusilaumu wachache tulaumu wengi wasioenda kupiga kura.asante.
Unajua Mwenyezi Mungu katuumba iumbe waajabu sana kwa kutupa Elimu na Utashi,hivyo tunauwezo wa kuamua kama kipi chema na kibaya. Ukilaumu waliopiga kura mwaka 2010 ni asilimia ndogo sana ya watanzania wote walioandikishwa kupiga kura,mbaya zaidi ni wasomi wanaoelewa umuhimu wa kura moja kwenye uchaguzi.Tujiuliza ni bora wapi waliopiga kura au wasiopiga kura wanahaki ya kulalamika?Na ukiangalia walalamikaji wote ni wale waliojiandikisha lakini hawaendi kupiga kura kwa kisingizio cha hawana muda au wanaogopa fujo.
Mbeya waliopiga kura 80% ni vijana walioamua mabadiliko na waliweza kubadilisha Mbunge kutoka CCM kwenda Chadema.Watanzania tusipende kulalamika wakati wa kupiga kura tuamke sote tukapige kura tuone kama NEC inaweza kubadilisha matokeo.Tujajaribu sasa tusilaumu wachache tulaumu wengi wasioenda kupiga kura.Asante.
Wengine hawaamini mpaka waone tena Mkuu!!chadema chadema chadema,
msijipe moyo kuwa mtashinda arumeru mashariki,watanzania ni watu wa ajabu sana,labda niwakumbushe kidogo wakati kashfa kuu kwa serikali ya richmond kulikuwa na uchaguzi wa ubunge tunduma na ccm yenye kashfa ikashinda,tukiwa kwenye hali mbaya kiuchumi,kisiasa na kashfa kede uchaguzi mkuu 2010 watanzania walimchagua jk na ccm yake kwa zaidi ya asilimia 60,juzi juzi igunga pamoja na matatizo yote waliyonayo magamba bado watanzania wakaichagua ccm,uzini nayo mmejionea,watanzania watanzania watanzania ni nani awakomboe.ndugu zangu siwakatishi tamaa ila msishangae ccm ikiibuka na ushindi mnono arumeru mashariki wananchi wa tanzania ndivyo walivyo bado hawako tayari kukombolewa.
:A S embarassed:Kweli CCM watashinda, ila kwa kuiba kura.