The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,804
simu kama Huawei, xiaomi na one plus huwa na features nyingi tu ambzo kweny baadhi ya simu zingine hazipo mpka zije updateKwenye Redmi Note 10 pro ilishakuwepo hata kabla ya update ya Android 13.
bado ana uwezo wa kudownload file manual na akaweka..simu zilizo root watakoma
Hii ni feature nzuri kwa wale wazee wa nyumba ndogo.[emoji23]Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22.
Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho.
Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha nani anakupigia hadi pale utakapotoa lock ya simu.
Kama simu iko locked na mtu akapiga, haitoi mwanga wala kuonyesha jina zaidi ya mlio wa kuita/ringtone kuna mtu anakupigia. Hivyo ili kuona jina la mtu lazima utoe lock.
Hii ni feature nzuri kwa wale wazee wa nyumba ndogo.[emoji23]
Anyway, nawakumbusha tu, msisahau ku-update Android zenu. Wale wapenzi wa Samsung, tutegemee mambo mazuri kwenye Galaxy Unpacked tarehe 1 Februari 2023.
View attachment 2482989
Oppo Reno5 F nategemea kuipokea Android 13 February 2023 na ndio itakuwa my last android update. Mwakani inabidi niset budget nichukue Oppo au Xiaomi. Samsung nilishatoka nq sitegemei kurudi. Kuna features na functionality nazipata huku Oppo na pia zingine naziona Xiaomi ambazo kwa Samsung ni bado sana.
Hiyo update naingoja kwa hamu sana aisee.
Hii feature ipo kwa sisi wa hii kampuni toka mda.Kwenye Redmi Note 10 pro ilishakuwepo hata kabla ya update ya Android 13.
Dah... Usikate tamaa boss.... [emoji1787]Kwenye update settings weka never na notification zima[emoji1787][emoji1787] masimu mengine ukiigusa tu ndio umeizima, tunayatumia tu kama ya urithi
Ni feature zipi ambazo unaziona xiaomi na oppo ila Samsung huzioni?Oppo Reno5 F nategemea kuipokea Android 13 February 2023 na ndio itakuwa my last android update. Mwakani inabidi niset budget nichukue Oppo au Xiaomi. Samsung nilishatoka nq sitegemei kurudi. Kuna features na functionality nazipata huku Oppo na pia zingine naziona Xiaomi ambazo kwa Samsung ni bado sana.
Hiyo update naingoja kwa hamu sana aisee.
Mi kwangu nikipigiwa mbona inaonesha na nipo Android 13... Samsung S22 ultra.Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22.
Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho.
Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha nani anakupigia hadi pale utakapotoa lock ya simu.
Kama simu iko locked na mtu akapiga, haitoi mwanga wala kuonyesha jina zaidi ya mlio wa kuita/ringtone kuna mtu anakupigia. Hivyo ili kuona jina la mtu lazima utoe lock.
Hii ni feature nzuri kwa wale wazee wa nyumba ndogo.๐
Anyway, nawakumbusha tu, msisahau ku-update Android zenu. Wale wapenzi wa Samsung, tutegemee mambo mazuri kwenye Galaxy Unpacked tarehe 1 Februari 2023.
Pigiw
View attachment 2482989
1. Split Screen.Ni feature zipi ambazo unaziona xiaomi na oppo ila Samsung huzioni?
Mimi binafsi labda ije brand mpya ya simu (Tesla) ndio naweza kuhama Samsung.
Na hua unatumia Samsung zipi, low end, mid end ama high ends? Mimi huku kwenye high ends Samsung amenishika na hapa nasubiri Februari 1 atoe Galaxy 23 nijichukulie mzigo.