Msiogope!

Huyu magufuli anaahidi ajira viwandani ni viwanda kani anazungumzia?serikali ina kiwanda hata cha nepi?huyu mzee vipi huyu
Viwanda vyenyewe ndio kama hivi vya wakina Dewji,Abood etc. Wanaolipa wafanyakazi wao 5,000 kwa siku.
 
sheria mpaka mtu akushtaki unazani wameajiri watu kuangalia kila kitu kinachoendelea hahahhaha mambo mazuri ya kimaendeleo yamewatoa jasho ndo hili ambalo halina mashiko
 
Robo la pato la gesi litatolewa ili Watanzania kupata ELIMU BURE KUANZIA CHEKECHEA HADI VYUO VIKUU.kazi kwako ruksa kuwa na watoto 100 watasoma bure USIOGOPE.


swissme
Kusema ni rahisi "kila mtu anaulimi wa kuzungumizia, Lakini utendaji ni mwenye kujituma"
waTZ tukiacha kulia lia na kulalamika, hapo maendeleo yatafunguka nchini kote !!! waBONGO TUBADILIKE... Mungu katupendelea kwa kutupa rasilimali,ardhi kubwa na hewa safi....kuliko nchi nyingi duniani!!! Kigogo Warren.T
 
Last edited by a moderator:
Hizo ajira zinatoka viwanda vipi? Wameua viwanda vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…