Msinichukie jamani

Msinichukie jamani

Habari ya jioni.

Kwanini wanajf wanastress sana.
Mie najipostia thread zangu lakini maadui wamekuwa wengi kuliko marafiki.
Upendo umepoa kabisa.
Niende wapi nikajiliwaze moyo unavuja damu.
Mapenzi yanishinde fake id ziniumize jamani.

Tutafute pesa tusiwe na makasiriko.

Tutoke out.
Tuwe na wachumba wenye hela.
Tuoge tuvae vizuri.
Haka ka baby walker kangu leo usiku nataka Mwanaume nimtoe out samaki samaki .
🙄🙄
 
Hatukuchukii bali Tunakudharau
 
Kwani siku hizi huendi tena pale Kimboka?
 
Matapishi yako hayo hapo juu 😎 afu sisi ndo tumedominate humu..
 
Back
Top Bottom