Msinichoke bado natafuta kazi

Queen sasha

Member
Nov 9, 2016
17
18
Habari wapendwa nimerudi tena natafuta kazi yoyote itakayoniingizia kipato halali .Nina diploma ya development planning nipo tayari kufanya kazi yoyote
Naishi Dodoma
 
watanzania wavivu kampuni ya YApi Markez inayojenga reli yaSGR wametangaza nafasi nyingi ila waomnbaj wachache na wanamshahara mzur
 
Habari wapendwa nimerudi tena natafuta kazi yoyote itakayoniingizia kipato halali .Nina diploma ya development planning nipo tayari kufanya kazi yoyote
Naishi Dodoma
kwamaelezo yako inaonekana we ni mkarimu sana hivyo kunawakati maisha yanakua nikusaidiana mimi sina kazi ya kukupa ila natafuta mwanamke wakuoa mwenye malengo kama wewe siku utakayo itaji kuolewa usiache kuja inbox napia uwe tayari kuhamia dar nakutakia utafutaji mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom