Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Huko moto unawaka kuna baridiiiTukutane kata ya kituro wilaya ya makete Mkoani njombe.
Kituro National Park
Ila Mufindi Shikamoo kwa baridiTulioko nyanda za juu kusini tukutane,katika adha hii kubwa na ya mateso kiasi fulani kwani ndani ya mwezi huu wa sita mpka mwezi wa nane mwishoni ni miezi ya kupigwa baraidi la vichomi na vumbi la kutosha haswa hapa mbeya,
ratiba za usafi haswa wa mwili hupungua kutokana na watu kuyakimbia mabafu na kuongeza wingi wa paspot size majumbani mwao,hii ni bugudha kuu ya miezi hii katika jiji la mbeya,vumbi ni muda wote ukitembea umbali fulani tu unageuka kitutoka mithili ya fukufuku...
Shida nyingine ni mahala unapolala miezi hii kama huna blanketi asee utaipandika fureshi lazima ujibinjue na kujikuta pamekucha kwani baridi inakushugulikia vizuri kwelikweli,...tuongezee shuruba nyinginezo wana jf za huu mwezi wa barid kwa apa mbeya......
Ila Mufindi Shikamoo kwa baridi
Karibu KituroIla Mufindi Shikamoo kwa baridi
Ipo mkoa ganiKituro ushawai fika huko ndo shida ilipo.
Tukutane kata ya kituro wilaya ya makete Mkoani njombe.
Kituro National Park
Kwenye mashamba ya chai ndanindani kabisa.Karibuni Hagafilo-Njombe...
Karibuuu😊Kwenye mashamba ya chai ndanindani kabisa.
Jioni najileta.Karibuuu😊
Mhola mhola nkoi..unafanyeje mbeya kipindi hiki cha maumivu..Tulioko nyanda za juu kusini tukutane,katika adha hii kubwa na ya mateso kiasi fulani kwani ndani ya mwezi huu wa sita mpka mwezi wa nane mwishoni ni miezi ya kupigwa baraidi la vichomi na vumbi la kutosha haswa hapa mbeya,
ratiba za usafi haswa wa mwili hupungua kutokana na watu kuyakimbia mabafu na kuongeza wingi wa paspot size majumbani mwao,hii ni bugudha kuu ya miezi hii katika jiji la mbeya,vumbi ni muda wote ukitembea umbali fulani tu unageuka kitutoka mithili ya fukufuku...
Shida nyingine ni mahala unapolala miezi hii kama huna blanketi asee utaipandika fureshi lazima ujibinjue na kujikuta pamekucha kwani baridi inakushugulikia vizuri kwelikweli,...tuongezee shuruba nyinginezo wana jf za huu mwezi wa barid kwa apa mbeya......
Karibuni Hagafilo-Njombe...