Msimu wa mapenzi mubashara: Valentine's Quotes

Asante ila ungenirudishia hata sehemu kidogo ya hiyo pesa ningepoa zaidi.
KUTATULIWA MATATIZO<br />Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.
 
Wengine tunatania tu.

Make kama kukutafuta ilikuwa ni kipindi kile ulivyokuja December.
Mm nilijua kipindi hicho ulikuwa hata hunijui kumbe unakumbuka oooh basi sawaaa next week nakuja wewe andaa tu kitu cha J Dada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…