Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika!
Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa:
✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma)
✅ Parachichi
✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza
✅ Papai, Komamanga, Pasheni, Pera, Stafeli, Fenesi, na Tope tope
✅ Migomba yenye tija kubwa
🌱 Kwa nini uchague miche yetu?
✔️ Miche yetu ni bora, yenye afya, na inakua haraka.
✔️ Inafaa kwa msimu huu wa mvua za vuli - wakati mzuri wa kupanda shambani kwa mavuno mazuri.
✔️ Tunatoa ushauri wa kitaalam kwa wateja wetu wote.
📍 Tunapatikana Morogoro, tupo tayari kukuhudumia!
📞 Piga simu sasa: 0752799673 / 0746850361
🌧️ Usikose nafasi hii ya msimu wa vuli! Panda sasa na uweke msingi wa mavuno bora na ya kudumu.
Tembelea Farm Side Company Ltd leo kwa miche bora ya matunda