Msimu wa Ajira serikalini tuanze kujiandaa vyema kwa usaili, mitihani yao.

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
282
Msimu wa Ajira serikalini unakaribia tuanze kujiandaa kwa Usaili na Mitihani yao.

Kutokana na Tume ya Utumishi wa Umma kupokea kibali cha kuajiri ajira zaidi ya 15,000 huu ndo muda mwafaka kila mtu ajiandae kwa usaili.

Ambapo matokeo mengi ya mitihani ya wasaili huwa hayaridhishi kwa ujumla na kupelekea kutokidhi vigezo.

Rai yangu ni wote tujiandae vyema kwa ajiri wa kuweza kupata matokeo mazuri katika mitihani, usaili kwa ujumla.
 
Nishasahau hadi kiingereza maneno hayaji kabisa.
Kalamu sijashika kitambo mno, nahisi hata mwandiko wangu nitakua nimeshausahau.

Hizi mishe za mtaani zinamaliza madarasa yote niliyopitia.
Tusaidiane hivyo hivyo tu.
 
Back
Top Bottom