Msimu mpya wa Orijino Komedi

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Wanakuja tena!

Baada ya kimya cha kitambo kidogo hadi kufikia hatua ya washabiki wao kudai kuwa kuna tetesi za kundi lao kuvunjika sasa Orijino Komedi wanarudi tena msimu mwingine.

Bado kuna utata kuhusu msanii mwenzao vengu ambae bado angali mgonjwa, bdao wako vile vilr, watu watano wa nguvu.
​
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…