CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
s.l.p 0000 mtaa wa siendi mbali, kitongoji cha nipe hayo mekundu, kijiji cha simiyu, barabara ya mtakuja lini huku heaven natumai hapo cousin hayo maembe yatanifikia nasubiria kwa hamu kubwa sana
Afu siku hizi nakumiso sijui kwa nini...!!
Yamefika cousin.. Shaka ondoa!
nafurahije siku nikiambiwa wamekuja dhl home kwako waingize ndani naona wanatoa kifurushi ayyani nitafurahi sana
hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaa usitake kunichekesha hapa wewe
unanimisoo heheyeheheiya haya unanimiso nini tena?
Rocky city kuna maembe???
Aisee hayo mekundu hapo nimeyatamani sanaaaaa!!
charminglady
Hahaha...uwiiii mekundu hayooo...raha ya embe nile kama nipo chini ya mti wake...sasa nimesafiri nikirudi ntayakuta sio??
Mkuu Eiyer pande za Buzuruga, unataka matenga mangapi? Wapi Judgment pande za Liberty order yako ni muhimu sana kwetu..
brenda18 pande za Capripoint maembe ya juice hutaki mamie??
Honey Faith unajua huko Nyegezi maembe hayapo kwa ajili ya wingi wa wanaSaut, yaan yakiwa mabichi wanayapopoa hata kama hayajakomaa so leta order mapema...
Sis ram najua huko Kayenze ndipo maembe huwa yanatokea lakini kuna aina fulani ya maembe huko hayastawi... Maembe ng'ong'o, hivyo basi tamka hapa hapa haraka unataka tenga ngap?
"Jamani sio msimu wa sikukuu, bali ni msimu wa maembe"
Habari zenyu binafsi mabibi na mabwana wa kipande hii... Nimewagaya now days lakini nimerudi back tena kwa kishindo!!!
Sasa ndio hivyo tena msimu wa maembe umeanza, kutakuwa na maembe ng'ong'o, maembe maji, maembe bolibo, maembe dodo, maembe kamba n.k
Karibuni nyote pale Gulioni Katerero kwa wale walioko RC na viunga vyake. Kwa wale walioko nje ya RC tuma order yako mapema na nitakuletea mpaka uliko.
"Come one, come all"
Nataka nikuchum..teeeeh!
Heri yako umeweka picha maana nilidhani maembe dodo.
Habari ya siku tele charminglady?
Heri yako umeweka picha maana nilidhani maembe dodo.
Habari ya siku tele charminglady?
yaaani hawa wote wapo mwanza ila sijakutana nao hata siku moja.... charminglady next meeting usisite kunistua tafadhari!!!!
cc: jf mwanza wings