CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hayo mekundu hadi mate yamenitoka
Rocky city kuna maembe???
Karibu sana.. Nikuletee hapo Mabatini au leo utakuwa Mkuyuni?
Mengi mno twin.... Ndo msimu wake saiv!
Karibu sana.. Nikuletee hapo Mabatini au leo utakuwa Mkuyuni?
Leo nipo hapa nyakato ila mda mda nitaenda bwiru labda kama tukutane makoroboi unipatie
Mkuu niletee na mimi hapa nsangamwalugheshi
Shem sasa mbona huko sipajui, hebu nipe ramani bathi...
BTW miss you much jamani, mpe hi mama j!
Mkuu niletee na mimi hapa nsangamwalugheshi
See you soon!!
cousin ndo nini kunitamanisha hayo maembe mekundu yaani hapa mate yananitoka ukija huku niletee japo moja weka katika begi lako hawatakuwekea ushuru wake huo kwani sio kifurushi ni tunda
Hayo mekundu hadi mate yamenitoka
Hahaaahahaa.... Cousin ynavyosema kirahisi unadha FJ watakubali? Labda nikutumie kwa DHL...
nitumie bhana kwa dhl basi basi maana hapa mwenzio mate dondoka kabisa usingeyaweka hapo juu ungehadhia tu
Hebu nipe address yako, mtaa, kitongoji, kijiji, street, road na vingine. Maembe yatakufikia hadi mlangoni!
Afu siku hizi nakumiso sijui kwa nini...!!s.l.p 0000 mtaa wa siendi mbali, kitongoji cha nipe hayo mekundu, kijiji cha simiyu, barabara ya mtakuja lini huku heaven natumai hapo cousin hayo maembe yatanifikia nasubiria kwa hamu kubwa sana