Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,722
- 6,056
Hayo yote ni kweli tubadilike tutafute maendeleo si kwa kulalamika na tuukubali ukweli. Kazi haitaki siasaHizi ni sababu zilizonifanya niandike hii mada
1) Tunapenda kulalamika kuliko kutatua matatizo.
2) Kila kitu tunategemea serikali itufanyie
3) Kwenye kila jambo tunatanguliza matumbo yetu badala ya Taifa
4)Tunapenda ngono na starehe kuliko kazi
5)Tunakimbia changamoto
6)Uvivu uliopindukia na kupitiliza kiwango cha uvivu wa binadamu wa zama hizi
7) Kupenda vya bure.. hapa naongelea misaada ya wahisani
8) Kufanya kazi bila matokeo kuonekana..
9) Kuendekeza wizi,ufisadi na udokozi kwenye sehemu za kazi.
Binafsi nadhani hatutaweza kubadilika lakini tuna jukumu kubwa la kuhakikisha kizazi kijacho kiwe na tabia na sifa tofauti na hizi.
Hizi ni sababu zilizonifanya niandike hii mada

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. ..kwa kweli message received. ..na tunaanza leo kubadilika. ..stay wellHizi ni sababu zilizonifanya niandike hii mada
1) Tunapenda kulalamika kuliko kutatua matatizo.
2) Kila kitu tunategemea serikali itufanyie
3) Kwenye kila jambo tunatanguliza matumbo yetu badala ya Taifa
4)Tunapenda ngono na starehe kuliko kazi
5)Tunakimbia changamoto
6)Uvivu uliopindukia na kupitiliza kiwango cha uvivu wa binadamu wa zama hizi
7) Kupenda vya bure.. hapa naongelea misaada ya wahisani
8) Kufanya kazi bila matokeo kuonekana..
9) Kuendekeza wizi,ufisadi na udokozi kwenye sehemu za kazi.
Binafsi nadhani hatutaweza kubadilika lakini tuna jukumu kubwa la kuhakikisha kizazi kijacho kiwe na tabia na sifa tofauti na hizi.
Kila Kitu Tunategemea Wahindi Mpaka Kampuni Za KubetMkuu umesema kweli kweli japo sio woote lkn ni wengi ktk jamii, naongezea kidogo kucheza pull mchana kweupe,kupiga madeal ,soga vijiweni,starehe nyingi ,kufuatilia mambo ya watu na kusemana,na kupenda Subeti bila kujua ndo tunaumizwa kwenye betting,nk