Msimbazi si shwari

Msimbazi si shwari

Ni upunguani tuu, huyu kwanza ni msanii na hata issue ya Okwi siajabu alishavuta pekee. Mbunge angeenda kuwekeza ktk kusaidia wananchi waliomchagua na sio kuleta siasa za magamba ktk timu ! Mtu mwenye akili timamu akiona hivi anawaachia timu yao na anajiweka pembeni sio kulazimisha na mpaka klabuni sasa aanze kwenda na bastola !!

Hao wanaomshangilia ni njaa tuu, kumbe ndiyo maana alisajili players nyumbani kwake, huyo mwingine sijui striker kutoka Misri, hawa watu wa CCM na mambo yao ya unga taabu kweli kweli !!
 
Mkuu jogi karibu sana mbeya city achana na haya matimu mawili.
 
Last edited by a moderator:
Rage lazima atakuja na mpya tu.. atapiga chini wote waliomsimamisha
 
Adui muombee njaa! Bora tu mzidi kukabana makoo huku daima mbele nyuma mwiko tukifanya yetu.
 
Back
Top Bottom