Msimamo wangu

Eti unikute na nyumba nije niandike majina ya watoto. Una laana wewe.
Na nyumba tujenge wote tuandike jina lako...why? Na why watoto. Kwanini isiwe majina yetu?
*****
 
Dada, usimtenganishe mwanaume na ndugu zake, wewe ni rafiki tu. Ushaapa kanisani kifo kikutenganishe.....halafu asioe
Mi nawaangalia tu halafu nasema hiiiiiiiiiiii (in magufuli's voice)
 
Ulichoandika hapo Ni I am selfish woman, know that before you marry me
 
Eti unikute na nyumba nije niandike majina ya watoto. Una laana wewe.
Na nyumba tujenge wote tuandike jina lako...why? Na why watoto. Kwanini isiwe majina yetu?
*****
Mkuu hata haihitaji hasira, ni jambo dogo tu hilo mbona.
 
Dada, usimtenganishe mwanaume na ndugu zake, wewe ni rafiki tu. Ushaapa kanisani kifo kikutenganishe.....halafu asioe
Mi nawaangalia tu halafu nasema hiiiiiiiiiiii (in magufuli's voice)
Wapi nimesem anitawatenganisha? Hebu kasome tena.
That means kiapo chetu kitakuwa tofauti sio hadi kifo kitutenganishe.
 
Hiyo namba 8 imeonyesha ubinafsi wako kutaka jina lako liwepo

Je tangu 2014 hadi Leo Kuna aliye jitwisha hilo zigo la misumari?
 
Si mpaka umpate huyo mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…