Msimamo wangu

Wanawake wa aina hii na + waswahili niwakukwepa kwa gharama yoyote ile usipo wa kwepa utakufa mapema kwa mawazo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseeh hakuna kitonga express hapo, msimamo wako lakini hayo mapovu yanayotoka upande wa pili ahahahaaaaaa mpaka huruma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseeh hakuna kitonga express hapo, msimamo wako lakini hayo mapovu yanayotoka upande wa pili ahahahaaaaaa mpaka huruma.
Yaani utafikiri wote wamenioa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utakua unapata wanaume wa aina yako,wale amabo ndoa inaanza saa tatu usiku inaishia saa kumi na moja asubuhi
 
Ahahahaaaaaa wamesahau kwamba huo ni msimamo wako naona wanataka wakupe misimamo yao ili mradi tuu kupingana na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa!!
Mambo mengine ni vichekesho ujue.
 
Kumbe eeeeh
 
Naomba nisem igwe igwenigwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…