Nijuavyo mimi kila mtu ana rules zake ila mnapoingia kwenye ndoa kuna rules zitabadilika au kuachwa kabisa ili muweze kuishi. Wewe unadhan utampata mwanaume gan ambaye hana rules zake? kila mtu akingุุ'ang'ania kubaki na rules zake mtaishije? Tena watu wenye maneno kama spy hua hawana shida kabisa, ukimkuta kwenye ndoa huwez kuamini kama ni yeye