Msimamo wangu

Usimuumize mwenzio jamani, yeye soko limemdodea anatumia hadi carot na dodoki now, alafu we unadrive si unataka afe kabla siku ya sio zake!!
 
Usimuumize mwenzio jamani, yeye soko limemdodea anatumia hadi carot na dodoki now, alafu we unadrive si unataka afe kabla siku ya sio zake!!

Huyo kachana godoro kila siku anapiga nyeto no way maana hana hela...hahahaaa akabake vichaaa
 
Ni kweli lakini
 
Huyo kachana godoro kila siku anapiga nyeto no way maana hana hela...hahahaaa akabake vichaaa

Hahahaaaaa!! Stress zake apeleke hukoooo!! Badala akasake mkwanja huko busy kupayuka hapa na magazeti yake,yaani hadi namhurumia.
 
Hahahaaaaa!! Stress zake apeleke hukoooo!! Badala akasake mkwanja huko busy kupayuka hapa na magazeti yake,yaani hadi namhurumia.

Akanye huko...yeye amezoea udikteta na wakati mapenzi siku hizi pesa. Atachapiwa kila siku
 
Akanye huko...yeye amezoea udikteta na wakati mapenzi siku hizi pesa. Atachapiwa kila siku

Anajifariji tu ila ukweli anaujua, alivyopayuka tu shows how much stressed she is.
 
Hivi Kati Ya Mume Na Mke Kwa Hapo Tz, Ni Nani Anasubiria Kwa Hamu Ili Mwenzake Afe Ili Arithi Mali?
 
shauri zako ilimradi sipati hasara..
usione utani me sihongi hata kwa ishara..
utaniambia nini mpaka unigeuze fala..
kwanza naskia hongo zinaleta mkosi..
senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi..
yabakie mapenzi tusileteane ujambazi..
hata upige sarakasi utachonga viazi..
 
espy mkuu, ulishapata mwanaume kiazi ukampa haya masharti kabla ya ndoa na sasa unafurahia ile misimamo yako kumi ndani ya ndoa?

Manake fast forward toka 2014 hadi leo tunategemea mtoto aanze vidudu teh teh!!!

Hii thread umenichekesha, some things I wrote dah
, kweli kumbukumbu ya maandishi ni mbaya
 
Ukisikia mtu anaongea hvyo ujue hana lolote anajiliwaza tu make unakuta stress kibao anaamua kuingia jf kujipa hope
 
Hongera kwa misimamo, na utamsubili sn mwanaume boya boya kama huyo. Hivi, hayo ndo mliyoakubaliana beijing ee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…