tabibumtaratibu JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 2,414 Reaction score 1,216 Sep 16, 2014 #61 kila nikitafuta wimbo wa kukudediketia sipati......
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,103 Reaction score 3,951 Sep 16, 2014 #62 Huyu atakuwa machame moja
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #63 Ngwananzengo said: Hujapata anaejua MAPENZI, utashangaa unabomoa ''kibubu'' chako na kilichomo unamkabidhi. Nakukumbusha wimbo wa Bi Kidude. ''Mhogo wa Jang'ombee, utaulamba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.'' Click to expand... yaani nibomoe kibubu kwa wewe kutimiza majukumu yako!!! never
Ngwananzengo said: Hujapata anaejua MAPENZI, utashangaa unabomoa ''kibubu'' chako na kilichomo unamkabidhi. Nakukumbusha wimbo wa Bi Kidude. ''Mhogo wa Jang'ombee, utaulamba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.'' Click to expand... yaani nibomoe kibubu kwa wewe kutimiza majukumu yako!!! never
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Sep 16, 2014 #64 mwallu said: Kituko kw viwango vya nani? Click to expand... kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!!
mwallu said: Kituko kw viwango vya nani? Click to expand... kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!!
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,761 Reaction score 14,005 Sep 16, 2014 #65 First Born said: utakuwa sio mzima.. all in all hiyo tabia utakuwa umeirithi kwa mama ako, ukatili aliokuwa anamfanyia babaako Click to expand... pliz usiwahusishe wazazi hapa? hoja zijibiewe kwa hoja na sio viroja
First Born said: utakuwa sio mzima.. all in all hiyo tabia utakuwa umeirithi kwa mama ako, ukatili aliokuwa anamfanyia babaako Click to expand... pliz usiwahusishe wazazi hapa? hoja zijibiewe kwa hoja na sio viroja
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Sep 16, 2014 #66 atoto said: yaani nibomoe kibubu kwa wewe kutimiza majukumu yako!!! never Click to expand... napata wasiwasi na unaokutana nao
atoto said: yaani nibomoe kibubu kwa wewe kutimiza majukumu yako!!! never Click to expand... napata wasiwasi na unaokutana nao
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #67 mwallu said: Kituko kw viwango vya nani? Click to expand... akisema cha nini wenzie wanauliza watakipata lini, kila mtu na mtuwe
mwallu said: Kituko kw viwango vya nani? Click to expand... akisema cha nini wenzie wanauliza watakipata lini, kila mtu na mtuwe
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #68 Junior. Cux said: napata wasiwasi na unaokutana nao Click to expand... wako imara kama chuma cha pua, ila huo ndio msimamo
Junior. Cux said: napata wasiwasi na unaokutana nao Click to expand... wako imara kama chuma cha pua, ila huo ndio msimamo
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Sep 16, 2014 #69 Galadudu said: Wa hivi ni kumtia mimba ya kushitukiza tu, hiyo misimamo yote kwisha habari yake Click to expand... mimba kitu gani wew huwa mnawakomesha watoto wadogo lakin kwa anaejijua mwenyew hawezi kupata mimba ya kushtukiza hata siku moja
Galadudu said: Wa hivi ni kumtia mimba ya kushitukiza tu, hiyo misimamo yote kwisha habari yake Click to expand... mimba kitu gani wew huwa mnawakomesha watoto wadogo lakin kwa anaejijua mwenyew hawezi kupata mimba ya kushtukiza hata siku moja
N nakusaka Senior Member Joined Aug 31, 2014 Posts 124 Reaction score 50 Sep 16, 2014 #70 atoto said: akisema cha nini wenzie wanauliza watakipata lini, kila mtu na mtuwe Click to expand... Ila kwa masharti hayo utampata mtoto wa shangazi yako!
atoto said: akisema cha nini wenzie wanauliza watakipata lini, kila mtu na mtuwe Click to expand... Ila kwa masharti hayo utampata mtoto wa shangazi yako!
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Sep 16, 2014 #71 Kutega alam sio kazi .... kazi ni kuamka ndugu hii misimamo hii mmmhhhh
N nakusaka Senior Member Joined Aug 31, 2014 Posts 124 Reaction score 50 Sep 16, 2014 #72 MankaM said: mimba kitu gani wew huwa mnawakomesha watoto wadogo lakin kwa anaejijua mwenyew hawezi kupata mimba ya kushtukiza hata siku moja Click to expand... Mimba itaingia bila wewe kujijua hata kwa njia ya haja kubwa itaingia full stop!
MankaM said: mimba kitu gani wew huwa mnawakomesha watoto wadogo lakin kwa anaejijua mwenyew hawezi kupata mimba ya kushtukiza hata siku moja Click to expand... Mimba itaingia bila wewe kujijua hata kwa njia ya haja kubwa itaingia full stop!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #73 tabibumtaratibu said: kila nikitafuta wimbo wa kukudediketia sipati...... Click to expand... keep searching
tabibumtaratibu said: kila nikitafuta wimbo wa kukudediketia sipati...... Click to expand... keep searching
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,197 Reaction score 29,758 Sep 16, 2014 #74 Kwa hali hii utagegedwaaaa mpaka basi.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #75 TIASSA said: Huyu atakuwa machame moja Click to expand... hebu usiwasingizie watoto wa watu tafadhali
TIASSA said: Huyu atakuwa machame moja Click to expand... hebu usiwasingizie watoto wa watu tafadhali
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Sep 16, 2014 #76 tamuuuuu said: Kwa hali hii utagegedwaaaa mpaka basi. Click to expand... bora umeliona mapema
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Sep 16, 2014 #77 nakusaka said: Mimba itaingia bila wewe kujijua hata kwa njia ya haja kubwa itaingia full stop! Click to expand... kwa njia ya haja kubwa??? utakuwa pepo wew tena ushindwe
nakusaka said: Mimba itaingia bila wewe kujijua hata kwa njia ya haja kubwa itaingia full stop! Click to expand... kwa njia ya haja kubwa??? utakuwa pepo wew tena ushindwe
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,317 Sep 16, 2014 #78 mi mwenzio mateka wa mahaba hata sina misimamo nimelegezwa kila kiungo....
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,437 Reaction score 176,390 Sep 16, 2014 Thread starter #79 Junior. Cux said: kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!! Click to expand... the beuty is in the eye of beholder
Junior. Cux said: kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!! Click to expand... the beuty is in the eye of beholder
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,761 Reaction score 14,005 Sep 16, 2014 #80 tamuuuuu said: Kwa hali hii utagegedwaaaa mpaka basi. Click to expand... we ni mtabiri ama?