Msimamo wangu

wanawake aina ya atoto ndivyo wanavyodanganya wenzao kwenye media. ukiiga kichwa kichwa imekila kwako
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali kipindi cha nyuma, niliwahi ku-date na mwanamke mwenye sifa kama ulizotaja hapo juu, aiseee baada ya kumvua PICHU tyuuuu, sikugeuka nyuma tena,....

Kwanini ulimkimbia jamani!!! Kinachowaogopesha hapo ni nini labda? Mwanaume hutakiwi kuogopa chochote hapo.
 
wanawake aina ya atoto ndivyo wanavyodanganya wenzao kwenye media. ukiiga kichwa kichwa imekila kwako

Hahahaaaaa!! Sasa mimi nimemdanganya nani? Sijamshurutisha mtu kufuata chochote hapo, nimeongelea tu msimamo wangu jamani.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini ulimkimbia jamani!!! Kinachowaogopesha hapo ni nini labda? Mwanaume hutakiwi kuogopa chochote hapo.
Sikumkimbia sema Sipo familiar na wanawake wa aina hiyo kabisa, nina Allergy nao, alafu wengi wao japo sio wote ni WACHAGA wakina MANKA na KEKU
 
Sikumkimbia sema Sipo familiar na wanawake wa aina hiyo kabisa, nina Allergy nao, alafu wengi wao japo sio wote ni WACHAGA wakina MANKA na KEKU

Uko familiar na wanawake wa aina gani? Ungemmudu tu mbona! Uoga wako tu,mwanaume hakimbii changamoto bwana ila inampa nguvu ya kuitafutia ufumbuzi, just simpo tu.
 
hujakutana na boloyanki
 
Wewe kama hutoki na mume wa mtu wewe basi kila Mwenye vijisenti napita..
Ahsante mkuu niko poli nazitafuta ili nije town tuzitumbue pamoja
 
Kwa wanaume wenu wa Dar...
Ambao hata hawawapi adabu kitandani,
Nadhani shida ni magenge ya chips kuwa mengi kuliko mashamba ya mahindi

Duuuh! Mkuu mie dar naisikia tu na kuiona kwenye tv, hata hao wanaume wa dar nawasikia tu wakitajwa km ww unavyowataja hv!
 
Duuuh! Mkuu mie dar naisikia tu na kuiona kwenye tv, hata hao wanaume wa dar nawasikia tu wakitajwa km ww unavyowataja hv!

Ukiwaangalia kwenye Tv huoni wanafanana na unaemlia vyake?..chunguza vizuri hasa mnapogegedana utagundua tu mkuu utagundua nasema utagundua kuwa hakupi kisawasawa kiasi ukawa na adabu kwa wanaume.
Na hata ukikaona kavulana kakitoka shule ukape shikamoo achilia mbali uliodai wako humu Jf.
 
mmmmh!! I wish i wud understood wht you wrote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…