Msimamo wangu


Naweza nisiwe sahihi kwa mtazamo wako, ila mie nimeona mbali sana mpaka kufikia msimamo huo, by the way sio lazima wote tuwe na misimamo sawa.
 
Hahahaaa!! umewaua my shouger.misimamo yako copyright Na yangu lol!!
 
msimamo wako upande mwingine nimeupenda.wanawake dizain yako ni bahat cna kuwapata yaan km ilivo kupata kaz TRA

nahc utakuwa mchaga ww tena wamachame au uru
 
msimamo wako upande mwingine nimeupenda.wanawake dizain yako ni bahat cna kuwapata yaan km ilivo kupata kaz TRA

nahc utakuwa mchaga ww tena wamachame au uru

Kudos to wachaga, maana kila mtu anawahisi wao tuu, kweli wanawake wa kichaga we waache tu, mie nawaheshimu sana.

Ila umewasingizia, mie sio mchaga hata kwa kurithi.
 

Mi nadhani wewe unahitaji kuwa na katiba kwako
 

Mwambie kaka yako akuoe ili pesa mtakazokuwa mnatafuta zisitoke nje ya familia yenu.
 
Kama utatekeleza hayo 8 ya mwanzo then utakosa haki ya kusimamia la 9.
 
A.....tooo....tooooo tulia shusha pumzi punguza jazba' inaonekana unakutana na majambazi hujakutana na wagawa faraja' unapewa mahaba wewe na masharti yako hamna hata utakalokumbuka hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…