Msimamo wangu


Naemagine matusi ya jf yangekuwa mawe!! Teh teh teh teh

Yaani mtu anakurupuka huko kapanik utadhani ndio mume wangu, khaaaaa!
 

Naomba nikuoe
 
huyo mwanaume unaemtaka hayupo tz labda um google aisee utasubir cn nd maan hamuolewi mnasingizia mmelogwa kumbe mnajiloga wenyewe
 
huyo mwanaume unaemtaka hayupo tz labda um google aisee utasubir cn nd maan hamuolewi mnasingizia mmelogwa kumbe mnajiloga wenyewe

Hahahaaaa!! Ndio maana hamuendelei kila siku mnawaza impossible tuuuuu!!! Mbona mie ninae
 


Nimekuelewa mae! Natamani haya yote ungeninong'oneza Da Pretty...teh!!
 
Last edited by a moderator:
Sawa mae! Mimi najua mbona....yani nitale kutongoza mtu nisijue anatokea wapi....aaaah

Si ndo hapo sasa, mie nilikuwa nakuchora tu! Alafu unajua hii haiwezi kuwa coinsidence!!
 
atoto kumbe ulianzaga zamanieeee....!
 
Last edited by a moderator:
vingine upo sahihi ila vingine impossible kw wanaume mf

swala la mali iwe na jina lalko na mumewe au watt hapo cwa maan kuna ndg washenzi cna km jamaa akifa

lakini hii ya chache changu changu changu hii haiwezekani asee.

swala mtu kuw bahil kwl hili sio powa mbaya zaidi km anahonga kwingine

hayo ni baadhi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…