kwenu usikute hamna ata baiskel maisha ya mboga moja alaf unataka kutajirikia kwa mwanaume.
nyie ndo wale mnaua wanaume mnak na mali.
watu wenye pes wanaoa wanawake wenye futute kiongeza power.
huna pesa utapata wa hadhi yako
yaani DEMBA hata mimi siamini
Wanaume wanaujitambua, wanaume wapambanaji, wanaume halisi... wale wanaume WANAUME wanapenda mwanamke wa kumpa changamoto.
Humu wapo wanaume wachache.
MSIMAMO WANGU
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.
5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.
6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.
7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.
8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.
9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.
NIMEMALIZA
Kila mtz ana mahali pa asili ujuwe. Hatusemi hili ili ku promote ukabila bali ku promote utani baina ya makabila. Haya sema nijuwe kama wewe mtani wangu ama vipi!!!Weee eli wewe! Endeleeni kubahatisha, maana nshapachikwa makibila hapa ya kila aina, kila mtu kwa mtazamo wake, mie ni mtanzania.
We Da Pretty unajuwaje kama humu kuna wanaume wachache? au......................teh!Wanaume wanaujitambua, wanaume wapambanaji, wanaume halisi... wale wanaume WANAUME wanapenda mwanamke wa kumpa changamoto.
Humu wapo wanaume wachache.
Hata kama, huo ndio msimamo, fullstop. Kisichokufaa wewe kinamfaa mwenzio.
Wanatetea hoja kwa hisia. Ipo hivi...We Da Pretty unajuwaje kama humu kuna wanaume wachache? au......................teh!
Naomba kujua jinsi ya kutuma new status kwenye jf.....plz
Sanaaaaaa!!! Changamoto kidogo tu anatokwa na jasho hadi la meno, kwanza "MWANAUME" anapata wapi muda wa kucoment uozo au matusi, akitoa anatoa moja tu tena linakuwa bonge la fact, humu wapo wachache sn.
Umri unakutia jeuri, Labda na kipato chako cha sasa, If you will not be careful utaishia kutumiwa na wenye Hela. Na ukaishia kuwa single mother.
Halafu, haya maneno tuu. Hutofanya any of these.
Bora ungekaa kimya.