Ha ha ni shider kwa wanaume wa sasa ivi wasipopewa masharti kwenye counter book lazima ile kwako maana watakuonea lazima bora kukomaa naye na masharti magumu kuliko ya world bank ili wawe kwenye mstari
haina mahusiano kabisaaa, changu changu, chake chetu
Mungu atuepushe na wanawake kama hawa.
naafikiana na yote lakini swala la ndugu nakataa.,ki ukweli usijitenge na ndugu maana pesa zinaishaga,unaeza ukashangaa mnaanza kuwaomba hao hao ndugu SI VYEMA KUJITENGA MATATIZO HUTOKEA
kingine PUNGUZA UBINAFSI ITAKUKOST
acha ubahiri
Siwezi kuchangia hoja kama hii bila kutaja umri wako, kila akili zina umri wake.
Tafute ile thread usome kuhusu mapenzi na umri itakusaidia na ndio utajuwa kwa nini kina Maddam Ritta na Shyrose banji wanakojoreshwa na vijana na pesa wanatoa.
Foolish age inakusumbuwa au hii ni copy and paste ya kutoka kwenye viblog.
Mwambie aelewe!Siwezi kuchangia hoja kama hii bila kutaja umri wako, kila akili zina umri wake.
Tafute ile thread usome kuhusu mapenzi na umri itakusaidia na ndio utajuwa kwa nini kina Maddam Ritta na Shyrose banji wanakojoreshwa na vijana na pesa wanatoa.
Foolish age inakusumbuwa au hii ni copy and paste ya kutoka kwenye viblog.
as long as am a woman na akaona namfaa thats all counts
masharti meeeengi afu unakuta binti mwenyewe kituko lol!!!!
Yaani ktk hili wanaume utawajua tuuu..sababu hizo kauliii mmmhh mmepatikanaa. Mmekuwa wadogooo zaidi ya piriton
Ila anayoyaongea yapo sanaaa, msimtukane ila ndio pakujifunzia kuwa kuna wanawake wa hivyo. Pengine yeye hata hayuko hivyo ila labda rafikiye ndio yupo hivi ameamua kumuwakilisha kwa jamii mtu km huyu. Wapo sana hawa ktk jamii wanawake wenye ubinafsi hivi