Msimamo wangu

Mume wako akitengwa na ndugu zake,utamhamishia kwenu?,hta ww kuna mambo ya msing na ndg zko mume hatopaswa kuyawekea msimamo,coz yanareflect ya moja kwa moja kat yko ww na familia ya kwenu.


wamtenge kwa lipi? kwani niliolewa na mume wangu au ndugu zake?? watafute mali zao
 
masharti kiasi jamani sa huyu si anajaza booklet hata tatu..... ah vituko wanajijua wenyewe, ila sio ka wewe best

Ha ha ni shider kwa wanaume wa sasa ivi wasipopewa masharti kwenye counter book lazima ile kwako maana watakuonea lazima bora kukomaa naye na masharti magumu kuliko ya world bank ili wawe kwenye mstari
 

Huu sio msimamo,msimamo ni kutokuvua pichu,haya mengine nature inadefine yenyewe baada ya mgegedo kukukolea
 

atoto,shikamo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…