Msimamo wangu

Mwandishi wa habari hii ni mchoyo, pili ni katili (hana huruma), ni mwuaji. Tena yuko kimasilahi. Hivyo basi hafai kuwa na mume.

hebu pitia koment kuna mtu kasema anapenda wa hivi
 
bora dada umejisemea zako mapemaaaaaaa watu wasijeanza kuleta za kuleta baadae ahahahahahahahaha raha sana
 
hivi huwa najiuliza hivi kuzeeka hivi hivi ni kosa kisheria? kuzeeka kwenyewe kupo wapi kwanza kufa nje nje!!!

hivi zile novida ziliisha nikuongeze zingine??
 
Uzi huu umefika hadi pg 37??? Kweli mada za kipuuzi zinapendwa sana

itakuwa typing error hapo, ni "mada za maana", ucjali cku nyingine kuwa makini
 
Mwandishi wa habari hii ni mchoyo, pili ni katili (hana huruma), ni mwuaji. Tena yuko kimasilahi. Anayo majeraha fulani ya kimaisha. Hivyo basi hafai kuwa na mume.

jamanii acha roho mbaya basi
 
bora dada umejisemea zako mapemaaaaaaa watu wasijeanza kuleta za kuleta baadae ahahahahahahahaha raha sana

yeah!! na hakuna mchezo kwa hili
 

sawasawa,, huu ni msimamo wangu mimi kama mmeo.

1. familia ni jukumu langu, nitawajibika mimi pekee na kuhakikisha mnaishi maisha basic, hamna mbwembwe.
2. sina haja ya joint account na wewe, nitakupa pesa kulingana na mahitaji and not otherwise. nataka kila senti itakayotumika iwe documented,,risiti will be highly appreciated.
3. ni marufuku ndugu zako kuhamia kwangu,, na kama watakuja kutembea hawaruhusiwi kulala zaidi ya siku moja. pia aje mmoja mmoja at a time, not otherwise.
3. huruhusiwi kwenda kwenu kutembea, unless wazazi ama ndugu zako waandike barua maalum ya maombi na wakutumie nauli.
4. sihitaji kusaidiana nawewe kujenga nyumba,, niachie hilo jukumu. nitajenga mwenyewe na kuandika jina langu, lako halina haja.
5. jukumu langu na familia yangu tu (wewe na watoto), matatizo ya ndugu zako hayanihusu. ndugu zako ni mzigo wako, huruhusiwi hata kuniomba ushauri.

nadhani tutaenda sawa, wako mmeo!!
 
Unasema hutaki mwanaume bahiri lakini wewe mwenyewe hutaki mwanaume aguse hela zako hata kama unazo zaidi. Sasa nani ni mbahiri? Kuna wanawake WANAFIKI hapa duniani kwa kweli.

Ukitaka ale kwa jasho lake, basi ule kwa jasho lako. Wanawake wa kisasa mnayo matatizo mengi, mnasema hamtaki tena mfumo dume lakini bado mnataka kupewa kila kitu. You can't have your cake and eat it too. Kama bado mnataka kuchuna hela zetu basi jiandaeni kutawaliwa na kumilikiwa kama zamani. End of story.

 
usalama wa kuhemea vya mwenzio?? ndio maana tunaishia kupiga na kusepa, hamna maana nyie

"nyie" na nani mwingine!?? co kuhemea ni jukumu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…