Hahaha..hebu tutoke nje ya mada kidogo..,mim sielew hivi ni wapenz au??mbona anamchora ezden mwee..had whatsap kamueka profile pic
mbonA nimeoteshwA kua hautaolewaMSIMAMO WANGU: -
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea!
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi!
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa!
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau! Imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide!
6. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine ctaki!
7. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi!
8. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa!
9. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo!
10. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu! Narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali!
*NIMEMALIZA*
tena hasa maneno ya wanaume!!! duuh wanawake tungepata taabu
MSIMAMO WANGU: -

namuongezea na ile taarabu ya mwanamke hulka, sijui kaimba nani.....Namdediketia "kizai zai" wa diamond na linah....
MSIMAMO WANGU: -
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea!
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi!
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa!
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau! Imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide!
6. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine ctaki!
7. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi!
8. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa!
9. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo!
10. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu! Narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali!
*NIMEMALIZA*
pole dada.hao wanaume unaowapata hawajuwi mahaba.ukikutana na chizi kama mimi utatowa hizo pesa kwa moyo wako kurizia.unapewa mahaba mazito hadi akili inakuruka huo msimamo wako hadi unapotea
wamachame mna bala nyinyi..nantomma
Mhhhh.....Hujakumbwa na mahaba bado, omba Mungu yasikupate...
Halafu hapo kwenye ndugu hapo HAPANA....unadhani mtoto wa watu kajizaa mwenyewe? Kajisomesha mwenyewe? Yani kukutana ukubwani ndo umtenge na ndugu zake?
Kumbuka kwa familia zetu za kiafrika hadi unakutana nae amekomaa hivyo ujue kuna watu walijitoa na walipata karaha kwa ajili yake...acha alipe fadhila.
Labda ukatafute babu wa kizungu.....!