Msimamo wa UKAWA wazidi kuwa mkali!

Msimamo wa UKAWA wazidi kuwa mkali!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ukawa wasisitiza ni "miujiza" wao kurejea Bungeni Agosti 5, labda endapo tu!kama kikao cha kesho na Msajili, F. Mutungi kitatatua dosari walizoziainisha.
Tusipokuwa wanafiki CCM, ndiyo wanaowazuia wananchi kupata Katiba Mpya kwa kuua moyo wa Rasimu ambao ni serikali 3.
 
Hakuana rasimu ya Warioba, hakuna bunge la katiba, ni ubakaji wa mamlaka ya wananchi.
 
Ni kweli kabisa hakuna sababu ya kurudi bungeni kutukanana, kudharauliana na kujadili pendekezo la kamati kuu ya ccm
 
Nani anawaita kwenda bungeni wachumia tumbo hawa waendelee na umbea wao huko mitaani tu.
 
Ukawa wasisitiza ni "miujiza" wao kurejea Bungeni Agosti 5, labda endapo tu!kama kikao cha kesho na Msajili, F. Mutungi kitatatua dosari walizoziainisha.
Tusipokuwa wanafiki CCM, ndiyo wanaowazuia wananchi kupata Katiba Mpya kwa kuua moyo wa Rasimu ambao ni serikali 3.
ukawa kama wangekuwa ndege basi wangekuwa bata mambo yao wanayofanya hakuna tofauti na bata.
 
Nani anawaita kwenda bungeni wachumia tumbo hawa waendelee na umbea wao huko mitaani tu.

Eeh inamaana pinda na mwigulu wakiongeaga wewe unaziba masikio!
 
Kuijadili Rasimu ya Warioba ni na ikakubalika ndio KIFO cha hao MaCCM, ndio maana wapo tayari kupoteza kila kilicho chetu na chao ili kufanya wayatakauo. Na kwa hakika CCM ikifa itakufa kifo kibaya sannnaaaaa na cha AIBU ambacho hajawahi kufa kiumbe chochote Duniani
 
Tusiandikie mate na wino upo, tusubiri tuone nani mshindi kati ya wachache(UKAWA) na wengi(wanaorudi bungeni). nachojua UKAWA wanaona aibu kurudi kwa sababu hata wananchi wameshawachoka, sasa watakwenda wapi?walisema wanakwenda kuwashtaki kwa wananchi wakaenda wakarudi mikono mitupu.
 
Kuijadili Rasimu ya Warioba ni na ikakubalika ndio KIFO cha hao MaCCM, ndio maana wapo tayari kupoteza kila kilicho chetu na chao ili kufanya wayatakauo. Na kwa hakika CCM ikifa itakufa kifo kibaya sannnaaaaa na cha AIBU ambacho hajawahi kufa kiumbe chochote Duniani

maneno ya mfa maji haya, hakuna kama CCM, wengine wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Nawashusri ukawa wakalime matikiti maji chanika siasa hawaziwezi kamwe.
 
Nani anawaita kwenda bungeni wachumia tumbo hawa waendelee na umbea wao huko mitaani tu.

Mkuu, mchumia tumbo si ndio aliotakiwa kua bungeni ili apige posho? Au neno mchumia tumbo lina maana tofauti na hiyo!?
 
Ukawa wasisitiza ni "miujiza" wao kurejea Bungeni Agosti 5, labda endapo tu!kama kikao cha kesho na Msajili, F. Mutungi kitatatua dosari walizoziainisha.
Tusipokuwa wanafiki CCM, ndiyo wanaowazuia wananchi kupata Katiba Mpya kwa kuua moyo wa Rasimu ambao ni serikali 3.
msilegese msimamo wenu paka kieleweke maana hi miccm inaboa sana
 
Back
Top Bottom