Msimamo wa serikali na shirika la afya duniani kuhusu matumizi ya dawa ya diclopar?

kimkakati

Member
Oct 18, 2016
39
95
Kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu athari za matumizi ya diclopar /diclofenac na tungeomba kujua msimamo wa serikali yetu kuhusu jambo hilo na pia kama kuna ushauri pia wa word health organisation
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom