Hali zenu wana wa MMU? Nahitaji kutambua msimamo wa chama cha mabachela juu ya ushiriki katika siku ya VALENTINE.
Sasa kama ni bachela,unataka msimamo wa nini?
The fact remains kwaki itakuwa siku ya kawaida kama nyingine and thanks God unneccesary spending kwako hazitakuwepo.
Nasikia Chama cha Magelofrend Tanzania (CHAMATA) kimetoa tamko lifuatalo......SISI MAGELOFREND TANZANIA, VALENTINE HII HATUTAKI MAUA, WALA, IPHONE, WALA IPAD, WALA PESA, WALA DINA, WALA LANCHI. TUNASISITIZA MABOYFRIEND WETU SIKU YA TAREHE 14 FEBRUARI WAJE WAJITAMBULISHE KWA WAZAZI WETU NA KUTOA TAREHE YA HARUSI...KAULI MBIU MWAKA HUU NI...HARUSI KWANZA....ZAWADI SIKU YA SEND OFF umewasikia watasubiri sana!Hali zenu wana wa MMU? Nahitaji kutambua msimamo wa chama cha mabachela juu ya ushiriki katika siku ya VALENTINE.
Penzi la kweli halina tarehe kama Kalenda.
Nasikia Chama cha Magelofrend Tanzania (CHAMATA) kimetoa tamko lifuatalo......SISI MAGELOFREND TANZANIA, VALENTINE HII HATUTAKI MAUA, WALA, IPHONE, WALA IPAD, WALA PESA, WALA DINA, WALA LANCHI. TUNASISITIZA MABOYFRIEND WETU SIKU YA TAREHE 14 FEBRUARI WAJE WAJITAMBULISHE KWA WAZAZI WETU NA KUTOA TAREHE YA HARUSI...KAULI MBIU MWAKA HUU NI...HARUSI KWANZA....ZAWADI SIKU YA SEND OFF umewasikia watasubiri sana!
UKIONA UMEJIANDAA SANA NA VALENTINE UHUSIANO WAKO UNA UFA:
Taratibu tutaelewana tu..Unasubiria Ijumaa ya Tarehe 14 kwa nguvu sana ILI IWEJE???Labda kama ni Anniversary ya penzi lenu(mlikutana siku ya tarehe hiyo),kwamba ni muhimu kuadhimisha..Wewe penzi lako na mchuchu mmeanza June 12,Valentine inawahusu nini??Mwaka mzima ulikuwa wapi??
Watu wenye Mapenzi STRONG siku hii ni Ijumaa ya kawaida kabisa na wataenda SKYLIGHT tu Thai Village kama hamna kinachoendelea,ila WEWE na uhusiano wako wa Bagia na Chumvi ndo unataka Ufufukie Ijumaa..Halafu Jumapili Mzike tena mpaka mwakani.
Kwangu mimi Valentine ni kila siku...Nikikuta nguo nzuri ya bebe nanunua nampelekea,hata kama ni November 19...Nikimmiss namfuata ghetto tunaenda Dinner Capetown Fish Market kula...Akiona kiatu kizuri ananunua anani-surprise,hata kama ni August 7
Penzi lililokufa halitabustiwa na Valentine Day kamwe...Kama hupendwi hupendwi tu,Penzi halifufuki Ijumaa...Penzi lililojengwa kwenye misingi Imara huenjoy Valentine kila siku
Narudia tena,Ukiona umepania sana Ijumaa ujue Penzi lako lina shida kwa sababu hata LEO inaweza kuwa Valentine yako ukiamua.Penzi la kweli halina tarehe kama Kalenda.
umechemka mkuu kitu mwezi wa nn tarehe mojaHivi valentine ni mwezi wa tatu mwanzoni eeeehhhh!!!!!!
Msimamo ni kuwa hatutashrk mkuu