Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Haya ni matokeo ya kipute cha leo cha kufungia mwaka 2017 karibu 2018.
Uku mwaka 2018 simba mechi zao kama ifuatavyo.
Karibu mwaka 2018 kwaheri mwaka 2017.
Cheerssss!!!!!!
Lakini kakukojolea viwiliMbao yenyewe imepitwa hata Na Prisons
Mtoto uliyembeba akikukojolea humtupi anaendelea kuwa mtoto wakoLakini kakukojolea viwili
Mbao yenyewe imepitwa hata Na Prisons