Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,969
- 218,809
Sio misa tu inayopakwa kinyesi bali ni pamoja na kanisa zima na wote waliomo, mimi sintoenda kabisaNaweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika wakaingia kwenye kanisa nitakalokuwemo leo NITAJIONDOKEA ZANGU , sitaweza kuinajisi ibada takatifu ya Ijumaa Kuu.
Damu ya Bwana Yesu ilimwagika msalabani kwa lengo la kuwakomboa wenye dhambi , ni damu ya thamani kubwa , ni damu inayosafisha , ni damu Takatifu , Kushiriki Ibada Takatifu kama hii na watu wauwaji , watekaji , wenye roho mbaya ya kishetani ni sawa na kuipaka kinyesi Misa hii Takatifu iliyojaa upendo wa Mungu.
Sitakuwa miongoni mwa Wasaliti wa Mungu .
Yohana 3:16
Hawa watu wakikataliwa kila mahali watagundua kwamba wanakosea .Sio misa tu inayopakwa kinyesi bali ni pamoja na kanisa zima na wote waliomo, mimi sintoenda kabisa
Sijawahi kuyumba kwenye imani mkuuNaunga Mkono Hoja.
Kwenye uislamu umeshatoka?Naweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika wakaingia kwenye kanisa nitakalokuwemo leo NITAJIONDOKEA ZANGU , sitaweza kuinajisi ibada takatifu ya Ijumaa Kuu.
Damu ya Bwana Yesu ilimwagika msalabani kwa lengo la kuwakomboa wenye dhambi , ni damu ya thamani kubwa , ni damu inayosafisha , ni damu Takatifu , Kushiriki Ibada Takatifu kama hii na watu wauwaji , watekaji , wenye roho mbaya ya kishetani ni sawa na kuipaka kinyesi Misa hii Takatifu iliyojaa upendo wa Mungu.
Sitakuwa miongoni mwa Wasaliti wa Mungu .
Yohana 3:16
Kwani kuna muumini yoyote amekualika wewe mpagani?Sio misa tu inayopakwa kinyesi bali ni pamoja na kanisa zima na wote waliomo, mimi sintoenda kabisa
Wewe mpagani unataka kuwafundisha Maaskofu kweli??Huwa sielewi ni kwa nini Maaskofu huwa wanatetemeka mbele ya wanasiasa. Hawajui kichwa cha Kanisa ni Msulubiwa Yesu Kristo ambaye alipambana dhidi ya watawala waovu wa zama zake?
hujui unachoandika , ni kwa vile unatumikishwa kama machine tuKwenye uislamu umeshatoka?
Fuatilia ibada ya Ijumaa KuuTunasubir mrejesho
Toa kwanza boriti la kuhukumu wenzako kabla ya kuangalia kibanzi cha upagani wa wenzako. Kristo alikuja kwa wakosefu si kwa ajili ya watakatifu.Kwani kuna muumini yoyote amekualika wewe mpagani?
Ni aibu sana !Huwa sielewi ni kwa nini Maaskofu huwa wanatetemeka mbele ya wanasiasa. Hawajui kichwa cha Kanisa ni Msulubiwa Yesu Kristo ambaye alipambana dhidi ya watawala waovu wa zama zake?
Kwani kuna siku huwa huungi hoja za ovyo kweli?Naunga Mkono Hoja.
Sasa mbona unawahukumu wanasiasa na maaskofu??Toa kwanza boriti la kuhukumu wenzako kabla ya kuangalia kibanza cha upagani wa wenzako. Kristo alikuja kwa wakosefu si kwa ajili ya watakatifu.
Unanifananisha na Mbunge wa CCM?!...Ebo!Kwani kuna siku huwa huungi hoja za ovyo kweli?
Kwenye ukiristu hatutumii neno kunajisi ibaada!! Hapo tu inaonyesha wewe ni wa upande gani. Usijipendekeza kwenye dini usiyoifahamu vyema. Njoo taratibu ufundishwe kwanza acha kuleta siasa kwenye imani za watu!hujui unachoandika , ni kwa vile unatumikishwa kama machine tu