mtayeshelwa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,170 Reaction score 390 Apr 21, 2016 #61 treborx said: Mmh, uongo mwingine wa wazi mno. UKAWA wanawatetea vp mafisadi? kwani wana serikali au polisi? Acha kupindisha maneno: Kama kuna mafisadi, waambie wenye mamlaka wachukue hatua. Achana na visingizio vya UKAWA katika hili. Click to expand... Mkuu mwenyekiti wako mbowe alitoa tamuko la kuwatetea hawa mafisadi.
treborx said: Mmh, uongo mwingine wa wazi mno. UKAWA wanawatetea vp mafisadi? kwani wana serikali au polisi? Acha kupindisha maneno: Kama kuna mafisadi, waambie wenye mamlaka wachukue hatua. Achana na visingizio vya UKAWA katika hili. Click to expand... Mkuu mwenyekiti wako mbowe alitoa tamuko la kuwatetea hawa mafisadi.
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,114 Reaction score 35,492 Apr 21, 2016 #62 Alafu wanakuja baadhi ya nyumbu kulalamika Rais anadhalilisha watu ....sijui tunataka nini ...
mtayeshelwa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,170 Reaction score 390 Apr 21, 2016 #63 42_007 said: Hahaaa wewe ni chizi... Click to expand... We ni tahira mkubwa na sasa hivi badala ya kuzungusha mikono umebaki kuzungusha mauno ufipa.
42_007 said: Hahaaa wewe ni chizi... Click to expand... We ni tahira mkubwa na sasa hivi badala ya kuzungusha mikono umebaki kuzungusha mauno ufipa.