mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Mkuu ni kweli kabisa,Hyo Kabwe ya Mbeya unayosema ilikuwepo kabla hata ya huyo Wilson kuwa Mkurugenz wakati huo sugu anasoma pale Sangu hyo Kabwe iko tu usitudanganye bana
Nanyi wananchi mnaiangalia tu,, si müngeenda kuibomolea mbali ili afe kwa pressure.Akiwa mkurugenzi wa jiji la Mwanza alipiga dili nyingi ambazo vijana wa njini wanasema 'za usoni kabisa' akawa analelewa tu.. Kupitia dili hizo alijenga vitega uchumi kadhaa ikiwemo Hoteli ya kifahari ya "Royal Sunset Beach" kule Luchelele!
Nanyi wananchi mnaiangalia tu,, si müngeenda kuibomolea mbali ili afe kwa pressure.
Chizi ni wewe uliye ahidi lowassa asipoingia ikulu utageuzwa kinyume na maumbile..We chizi nini...mbona hueleweki ulichokiandika.
Kweli mkuu nakubaliana na wewe wazazi walipoteza pesa kusomesha toto jinga na lenye utindio wa ubongo kama wewe ambalo kazi yake kubwa imekuwa ya kulamaba viatu vya akina mbowe na lissu...mkuu msigwa alisha waambiwa mnaomuunga mkono lowassa mkapimwe akili..inaonekana una mental disoders maana unashindwa kutambua kwamba kwa sasa UKAWA ndiyo wamegeuka kuwa genge la kutetea mafisadi.. kwa hiyo mnataka kutuaminisha kwamba zile tuhuma mlizokuwa mnazitoa dhidi ya kabwe zilikuwa nu uwongo..hebu koma kufikiri kwa kutumia masabuli jaribu kushirikisha ubongo kidogo...Magufuli nyooosha hizo kunguru.Hata kama una mahaba na ccm jaribu kuifikiria nchi, ukawa imetoka wapi? unakariri tu kama kasuku? Unaambiwa kabwe alikuwa hawajibishwi kwa kuwa ni mume mwenza wa pinda, ila kafanya ubadhirifu mwingi.. badala umlaani pinda na kikwete unalaani ukawa, shame on you, saa nyingine wazazi wanapoteza pesa kusomesha mijitu isiyotaka kufikiri vyema. Shit.
Aaa kumbe mnamtetea mwizi mwenzenu haya andaeni maandamano mkipinga kitendo ya Mh Magufuli kumsimamisha kazi Wilson kabwe...kama mlivyokuwaga mnaanda maandamano dhidi ya ufisadi wa richmond na Escrow muone nyomi mtakayoupata.Tangu lini mwizi akawa na uhakali wa kumwajibisha mwizi mwenzake ili hali nae anastahili kuwajibisha kwanza?
Jinsi ulivyo zoba hata huyo Magufuli hawezi kukupa kazi ya kusafisha banda la mbwa wake, "masabuli" ndio systeam ipi kwenye mwili wa binadamu? Tuhuma za Zitto zilikuwa kweli kwamba alianzisha chama akiwa mwananchama wa chama kingine alikanusha lakini baada ya kutolewa chadema alienda kwenye chama chake, hivi unafikiri kumkosoa alie kosea ni uadui? Ulitegemea Zitto awe adui wa UKAWA? Pole umekalia chuki ndio maana unalazimisha malumbano, Magufuli alishasema ni rais wa wote na kama ni kunyoosha anayoosha walioko CCM, upo hapo? Kilango alikuwa UKAWA ee? Usifikiri siasa ni uadui funua mawazo ona mbele zaidi acha kuangalia ulipo toka ya zito na chadema yalishakuwa historia sasa watu wanawaza maendeleo y watu.Kweli mkuu nakubaliana na wewe wazazi walipoteza pesa kusomesha toto jinga na lenye utindio wa ubongo kama wewe ambalo kazi yake kubwa imekuwa ya kulamaba viatu vya akina Mbowe na Lissu...mkuu Msigwa alisha waambiwa mnaomuunga mkono Lowassa mkapimwe akili..inaonekana una mental disoders maana unashindwa kutambua kwamba kwa sasa UKAWA ndiyo wamegeuka kuwa genge la kutetea mafisadi.. kwa hiyo mnataka kutuaminisha kwamba zile tuhuma mlizokuwa mnazitoa dhidi ya Kabwe zilikuwa nu uwongo..hebu koma kufikiri kwa kutumia masabuli jaribu kushirikisha ubongo kidogo...Magufuli nyooosha hao
You have generalized it too much! Be specific with facts. Cjui mara kaharibu! Kaharibu kwa kufanya nn?
Hyo Kabwe ya Mbeya unayosema ilikuwepo kabla hata ya huyo Wilson kuwa Mkurugenz wakati huo sugu anasoma pale Sangu hyo Kabwe iko tu usitudanganye bana
Hahaaa wewe ni chizi...Chizi ni wewe uliye ahidi lowassa asipoingia ikulu utageuzwa kinyume na maumbile..
Nashukuru sasa vijana wa UKAWA wamejapambanua katika rangi yao halisi kua ni watetezi wa mafisadi ..kumbe zile kelele ulikuwa unafiki na uzandiki..Haya na Meya wa municipal ya Ilala anayetokana na UKAWA amewasimamisha kazi wahandisi wanne haya nategemea vijana wa Ufipa ...kuja kulaani hatua ya meya wao hahaha.