Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 600
- 1,526
πππ kwahiyo jamaa anapaa na ungoAlidanganya π huwa anatembelea hiriz na anajipaka mafuta ya naziπ
ππ nani kasema. Huogopi kulogwa vitu vingine semea moyoniπππ kwahiyo jamaa anapaa na ungo
π€£π€£π€£ kwa sababu nimeshindw kuyapata mashangazi najua unayapata kwa kiziziWapi nimesema hivyo? π π
Bora umenikumbusha πππ nani kasema. Huogopi kulogwa vitu vingine semea moyoni
Oi Carrasco na Mzee wa kupambania hebu msaidieni kijana. Anahitaji shangazi mmoja. Nilionao Mimi nahisi wanaweza kumuwehusha π ππ€£π€£π€£ kwa sababu nimeshindw kuyapata mashangazi najua unayapata kwa kizizi
Cjawahi kuwa mfupi broWewe ni mfupi bana acha uongo bro[emoji23]
Una futi ngapi....
Unameno kama yangu unweza dhani ni punje ya mahindi
Cjawahi kuwa mfupi bro
Unataka umchongee jenez auπUna futi ngapi?
Nashindwa kuamini kwamba ni mrefu[emoji23] labda kwasabu ya ile avatar yake alimueka Jerry[emoji23]Unataka umchongee jenez au[emoji28]
Hatuna wasiwasi na kimo kwaiyo sijawahi pimaUna futi ngapi?
πππUkiona ID kongwe, ipo miaka kibao lakini Ina title ya member au senior member, tambua hao ndio wazee kushinda PM wanasumbua dada zetu.
Wao hawana time na kuanzisha threads, Wana projects zao π π π