Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,398
- 9,176
- Thread starter
-
- #141
Young boytuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague nani😶
Dogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wakoYoung boy
Sina kaziiii mwanachuu
Mweupe kdg
Mref kdg
Sio mnene
Karibu
😂 dogo bado sana ngojq apigwe na kitu kizitoDogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wako
Hakuna weupe kidogo, mrefu kidogo wala sio mnene🤣 hizi sifa kama unataka kujiita Half american 🤣
😂😂🤣🤣 ila kale kairizi si mzee kijana alikichukuaUsichokijua aposto kwa mdomo wake mwenyew kakiri ana kizizi na anajipaka mafuta ya nazi🤣🤣🤣 Analyse
Shikamooo mamsapuDogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wako
Hakuna weupe kidogo, mrefu kidogo wala sio mnene🤣 hizi sifa kama unataka kujiita Half american 🤣
Shikamooo mamsapu
yani apo kwenye kutokua na kazi hapo baaaasi🙌Young boy
Sina kaziiii mwanachuu
Mweupe kdg
Mref kdg
Sio mnene
Karibu
😁 Kazi yangu kubet hapo je?yani apo kwenye kutokua na kazi hapo baaaasi🙌
😂😂😂 Mangi majanga huyu atafirisiwa kwenye harakati zake na mashangaziWewe unasumbuliwa na huyo kuku
Nakwambia hivi uyo atarudi rombo na shangazi kaja😂😂😂 Mangi majanga huyu atafirisiwa kwenye harakati zake na mashangazi
hapana sitaki, me nataka kazi za kukaa kwenye viti vya kuzunguka ofisini 🤓😁 Kazi yangu kubet hapo je?
Okay basi nipee siku moja nikate kiu kipindi napambanahapana sitaki, me nataka kazi za kukaa kwenye viti vya kuzunguka ofisini 🤓
wewe endelea kupambana kwanzaOkay basi nipee siku moja nikate kiu kipindi napambana
Kweli masikini hazaminiki 🚶🚶🚶 Ngoja nifanye utaratibu Chaputa tu nipate kadiwewe endelea kupambana kwanza
aya safari njemaKweli masikini hazaminiki 🚶🚶🚶 Ngoja nifanye utaratibu Chaputa tu nipate kadi
Mref kdg
Shikamooo mamsapu
Alidanganya 😁 huwa anatembelea hiriz na anajipaka mafuta ya nazi😀😂😂🤣🤣 ila kale kairizi si mzee kijana alikichukua