Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,395
- 9,174
Na wewe pia au unambegu ya parachichiNgoja waje.
Hizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademuGily na huyu Johnnie Walker
Ukiona ID kongwe, ipo miaka kibao lakini Ina title ya member au senior member, tambua hao ndio wazee kushinda PM wanasumbua dada zetu.hizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademu
π sema mishangazihizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademu
Kula unachoweza mkuu. Usitake kucompete π π πWanaume wenzangu msile mazao na mbegu bana sisi watoto wenu tutapanda na kula nini?
Yani sasa hivi hata kama nimekaa tu na washkaji kwa jinsi pisi zinavyoliwa najua tu hata nikioa wataliwa tu alafu wanawake wanapenda mizagamuano yani sijui na bahati mbaya mademu wangunwote wanapenda
Ila mimi ni normal tu nafanya kwa kumiss sio chakula inapelekea kuwa na feelings na pressure
Kinachoniuma ni hawa kaka zetu wanapiga miguu yote vikongwe mpaka watoto sasa sisi tule nini?
Acheni hizo bana
awe kiongoz wa vikoba huyo shangaz ππ sema mishangazi
Atumie dk zake 2 vizuri, afu apite hivi...[emoji23]Kula unachoweza mkuu. Usitake kucompete [emoji28][emoji28][emoji28]
Na hata kwenye shoo, fanya unavyoweza, usitafutie ushujaa kwenye kifua Cha mtoto wa watu [emoji28][emoji28]
π sema braza unaupiga mwingi wewe na aposto Analyseawe kiongoz wa vikoba huyo shangaz π
Asijekufia kifuani bure πKula unachoweza mkuu. Usitake kucompete π π π
Na hata kwenye shoo, fanya unavyoweza, usitafutie ushujaa kwenye kifua Cha mtoto wa watu π π
Vijana wapo fasta sanaKula unachoweza mkuu. Usitake kucompete π π π
Na hata kwenye shoo, fanya unavyoweza, usitafutie ushujaa kwenye kifua Cha mtoto wa watu π π
Hata sekunde tu, Cha msingi amalize salama π π πAtumie dk zake 2 vizuri, afu apite hivi...[emoji23]
Ukiona ID kongwe, ipo miaka kibao lakini Ina title ya member au senior member, tambua hao ndio wazee kushinda PM wanasumbua dada zetu.
Wao hawana time na kuanzisha threads, Wana projects zao π π π
Bora kifuani ila sio kufa et kisa homa ya MarburgAsijekufia kifuani bure π