el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,070
Watu wengi hasa wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi hapa nchini Pakistan wanalalamika kuona chama tawala kinaenda kushinda almost kila nafasi kwa ushindi wa kishindo as if hawana upinzani kabisa, nawaambieni msilalamike, hiyo ni baraka iliyojificha.
Kwanini ni baraka iliyojificha?
1. Kazi na faida za upinzani zitafahamika vyema zaidi. Tangia mfumo wa vyama vingi ulipochukua hatamu hapa Pakistan watu wengi hawajajua faida yake, kwa kuwa sasa trend ya matokeo yaliyotangazwa inaonyeshwa wameshashindwa pakubwa, watu ndio watajua faida yake, zile hoja zilizokuwa zikiletwa kuibua ufisadi n.k hazitasikika , matokeo yake itakuwa mwendo wa ndio mzee, hii itapelekea baadhi ya vitu kupita tuu bila scrutiny yeyote ili hivyo wanachi kushtuka wanachokikosa kwahiyo itakuwa advantage kwao kuanzia chaguzi zote zinazokuja.
2. Chama tawala kitakuwa na wabunge almost wote ,madiwani almost kata zote, na wenyeviti mitaa yote hivyo ni rahisi wao kupitisha agenda zao za maendeleo bila kuwa na kisingizio chochote kile.
Endapo watafeli kwa miaka mitano , katika chaguzi zinazokuja hawatakuwa na agenda yeyote mpya kwa kuwa walipewa nafasi ya kuunda serikali za mitaa, serikali kuu na Bunge bila kuleta maendeleo kwa watu , hivyo hakutakuwa na hoja yeyote ile mpya zaidi ya kujichimbia kaburi lao wenyewe.
3. Kujirekebisha makosa yao, Wapinzani walifanya makosa makubwa sana uchaguzi uliopita hii ni nafasi kwao kujirekebisha na kujua gharama za shortcuts walizotaka kuzitumia, kwa kuwa watakuwa nje ya ulingo ni vyema watumie huu muda kujichunguza, kujikagua na kujirekebisha katika yale yote waliokosea.
Itaendelea