Yes. Wakati picha hii inapigwa kanisa hili halikuwa linatumika, ni wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huko africa ya kati, kanisa lilikuwa linatumika kama nyumba ya wakimbizi.
angalia picha ya kanisa kwa ndani.
Well, the picture on main topic do not relate to this link. nimeweka link in order to show that kunawezekana christian and muslim kusaidiana katika mambo ya kiibada.
kanisa limeuzwa kwa kukosa waumini, limenunuliwa na waisalmu, hapo ni baada ya manunuzi kufanyika na kipindi sa swala kimefi , IBADA KWANZA KISHA UKARABATI UTAFUATIA................!!!
kanisa limeuzwa kwa kukosa waumini, limenunuliwa na waisalmu, hapo ni baada ya manunuzi kufanyika na kipindi sa swala kimefi , IBADA KWANZA KISHA UKARABATI UTAFUATIA................!!!