Msikiti walipuliwa Kuwait na IS

Status
Not open for further replies.
KWANZA ISIS ilianzishwa na mmarekani mahsusi kwa kumtoa Assad,.walivyoshindwa ndio wakakimbilia upande wa Iraq, hiki kitu mmarekani hakufurahi kwani ISIS walihodhi maeneo yote mmarekani alipokuwa akiiba mafuta huko Iraq, ndio mmarekani akaanza vita na ISIS ila tayari alikuwa amewapa silaha za kutosha, mafunzo na pesa, ikabidi aingie na gia hiyo
 

Acheni hizo ngonjera! Hivi waislam ni wepesi hivyo kudanganywa ili wauane wao kwa wao?
 
Wewe unachokizungumza hata hukijuwi unafananisha hao Magaidi Wa ISIS na Waislam wa Tanzania? Wewe unajuwa ni nani aliyeanzisha hiyo Bakwata hapo Tanzania? Hebu nipe jibu?

Niambie kwanza kama wewe binafsi unaikubali bakwata! na je huwa unatangulia kufunga kabla ya tangazo rasmi LA bakwata au unafuata maelekezo ya bakwata?
 
r
Basi kama ni hivyo hata hapa Tanzania hao wanaovunja mabucha ya nguruwe na kuchoma makanisa na kuvamia viwanja vya Bakwata si waislam ila ni magaidi wanaotumia uislam!
 
Ni kweli jamaa wanajitahidi kuwasafisha lakini tatizo wanaotaka kuwasafisha hawasafishiki na ni ngumu sana watu kuwaelewa yaani sisi binadamu tuko tayari kusema uongo wa wazi kabisa tena mchana kweupe na kuwafanya wa-Tanzania wote hawajui na hawasikilizi hata hizo radio zao za mbao hawasikilizi yanayoendelea huko mashariki ya kati????yaani mnataka kuwaaminisha watu kuwa ISIS ni wamarekani na Israel???
 
Astafilulah maharage siyo mandazi looooo!!!!!!!Msahafu wao ni uleule,Mtume wao ni yuleyule,Ibada zao nizilezile za kiarabu,Muonekano wao ni uleule, Leo sio waislam.sawa ila ni ngumu kumeza,Labda tupewe tofauti yao na waislam

Wakiwa msikitini hawana mabom ila wakiwa nje ya msikiti wanaweza beba chochote na kufanya chochote
 

ISIS Ni makafiri km wewe Mkuu.
Wanakula Kitimoto na Wanafurahia KUUA waislamu km unavyofurahia wewe.

Hata Yesu pia alifanyiwa uadui na Hao hao Waisraeli ambao wewe unawafagilia kila kukicha lkn kumbuka hata ile dola ya kikafiri ya ROME ilidondoka na zile zingine km Benzatine na Persia zote zimebaki kwenye Vitabu tu.

Leo Uislamu Ni Dini inayokuwa kwa kasi Ya ajabu Duniani. Hasa huko kwenye Chimbuko La MAKAFIRI.
Na Hilo ndio Tishio kwa wachumia tumbo km Nyie.

Mnatambua kuwa UISLAMU ukitawala Hizo Rushwa Na Hongo mnazodhulumu wananchi Zitakuwa ndio mwisho wake.
Na mgambo km wewe bila Rushwa wanao hawajaenda Choo.

Kaa chonjo mgambo.

Brothers are coming soon in your Neighbourhood.
 
unaanzaje kuuA ndugu yako kwa ahadi ya kwenda peponi afande sele voice
 

kapimwe IQ KAKA. KILA KITU KWENU NI WENGINE WANAFANYA SIO NYIE. USELESS. AKILI FINYU KWELI.WEKENI VICHWA KWA MCHANGA KABISA. FUNGENI MABOMU VIONONI KILA UCHAO HALAFU SEMENI NI ------. BURE KABISAAA, DINI YA AMANI KWELI.
 
kapimwe IQ KAKA. KILA KITU KWENU NI WENGINE WANAFANYA SIO NYIE. USELESS. AKILI FINYU KWELI.WEKENI VICHWA KWA MCHANGA KABISA. FUNGENI MABOMU VIONONI KILA UCHAO HALAFU SEMENI NI ------. BURE KABISAAA, DINI YA AMANI KWELI.

Hapa sio jukwaa la mipasho.
Asie na elimu na weledi lzm Abwatuke km wewe.

Soma Historia kidogo utaelewa nini naandika hapa.
Kabla ya MAKAFIRI kuvamia nchi za WAISLAMU haya mambo ya Kuua watu ovyo uliyasikia?

Hao Makafiri wa kigalatia walipoua Viongozi wa Nchi za watu Nini wamepata zaidi ya Kuendelea Kuua Wasio na hatia?

Umeshawahi Kusikia Nchi ya Kiislamu Ikaenda Ripua Mabomu Kwenye nchi za wagalatia na Kutuma Majeshi kwa MA ALFU pamoja Ndege zenye kubeba Tones of Bombs?

Kaulize wenye Elimu kabla ya kuandika utumbo jukwaani.
 

Usiseme kosa la mtu mmoja.Waislam kuanzia mwaka 1980 wanaua watu kisa hawakubaliani na dini zao na wala sio muislam mmoja yani ni wengi sana hata kisampuli ya kutoa maamuzi wanakubalika mfano kuna wanachama wangapi wa al qaeda,hyo isis,taliban,al shabab,boko haram na kadhalika??nitajie basi hata kundi moja la wakristo lenye angalau watu 5 wanaotaka kuwaua waislam.
 
Kirefu cha ISIS ni [TABLE="class: table tdata, width: 633"]
[TR]
[TD="class: tal tm"]ISIS[/TD]
[TD="class: tal dx"]Israeli Secret Intelligence Service[/TD]
[/TR]
[/TABLE]






hahahaha....jamaa mmeshindikana..
 
Last edited by a moderator:

kwahiyo sasa hivi hawasaidiwi na mmarekani kwasababu wamegeukana...ila mbona kuna mwenzio anasema wale bado wanalipwa na mmarekani plus muisraeli...mnatuchanganya sasa.
 
Na Ile imani ya Ndoa za jinsia moja Inaudhi kweli.

Kwani kwenye biblia imeandikwa ndoa ya jinsia moja?ila kwenye kitabu chenu Quran imeandikwa kuua watu kwa ajili ya mungu wenu na kuna dhawabu kubwa ukiwaua kwa jina la huyo mungu wenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…