bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Mmarekani ana akili sana, hatumii nguvu tena kupigan na shetani. Yeye anamwagia mafuta tu kwenye kuniWatamalizana tu hawa watu, isis ndio habari ya mjini kwa sasa, kila siku inachinja wafuasi wa makundi ya hamas,hezbolah,taleban nk. Isis itawamaliza.
Mmarekani ana akili sana, hatumii nguvu tena kupigan na shetani. Yeye anamwagia mafuta tu kwenye kuni
Naaam!Kwamba anausaidia mkaa kuwaka kwa kuumwagia petrol.
Naaam!
Katika hali ya kushangaza waislam wa Shia waliokua katika swala ya ijumaa,msikiti wao umepigwa bomu na magaidi wa IS.Angalau watu watatu wafa na wengine wengi kujeruhiwa.
Ona sasa wanamalizana wenyewe jamani Muhammad si yuleyule tu au tatizo nini??
Source:
Kuwait mosque explosion: Possible Isis bomb attack launched on Shia Muslims during Ramadan Friday prayers - Middle East - World - The Independent
Utawasiki wamechonganishwa maana wao ni wamoja
Hii kweli dini ya Amani
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.Watamalizana tu hawa watu, isis ndio habari ya mjini kwa sasa, kila siku inachinja wafuasi wa makundi ya hamas,hezbolah,taleban nk. Isis itawamaliza.
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.
Ngojea waje huko kukulipua wewew na familia yako ndipo utakapo juwa ubaya wa Magaidi ukoje waulize Kenya yaliyo wapata kwa magaidi ya Kisomali kisha ndipo utakapo juwa Magaidi ni watu wabaya sana Duniani.Wewe unasema nini?. Mbona hata hapa bongo mnatifuana?. Ugomvi uliopo bakwata unatokana na nini?. Pia kuna wale wanaovaa suruari fupi na kujisaidia haja ndogo wakiwa wamechuchumaa pia wanaovaa suruali ndefu pia wafugao ndevu na wasiofuga. Hapo inakuwaje?. Mlipuane tu maana tumechoka sasa.
Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.
Mkuu, naomba kirefu cha neno ISIS
Mkuu, naomba kirefu cha neno ISIS