Kusoma hujui hata picha huoni, dah! Sikuwezi...
walikuwa wanachoma uchafu pale karibu na mlango kama hutaki basi
taja jengo lipi limeungua?
watu wanaswali sasa hivi wewe umepiga picha yako ukakimbia hujasogea hata ndani
ubishi ubishi tu bila data za kutosha nitajie jengo lipi limeungua ?
Siyo kosa lako, sitaki kubishana na wewe kwa kuwa
hata sasa nipo hapa hapa Kinondoni, si mbali na msikiti...
Hiyo ndo dhambi ya ubaguzi. Ni kama kula nyama ya mtu kamwe huwezi kuacha.
Walianza na makanisa ya wagalatia sasa wamegeukia na misikiti ya ndugu zao.
Mnachukiza sana.
Siku zoote mmekuwa ni watu wa kutufuata fuata sna tena bila sababu zozote za msingi.
Makanisa yenu ili ilitolewa riport ya polisi na kuthibitisha kwamba ni waislam wanachoma makanisa yenu??
Ushahid huo uko wapi.
Kama upo weka hapa.
Na hata kama huu msikiti umeungua umeona waislam wakisema kwamba wakristo wamehusika na uchomaji wa moto huo??
Why mnapenda ***** *****.
Why.
Hakuna anayependa ***** *****..
Kwani Huko Iraq ,Libya ,Egypt,Syria,Yemen ..Mbona wanauwana kwa maelfu Huku wote ni dini Moja ....
Iraq Zaidi ya asilimia 98 % ni waislamu ...wakristo wa Iraq wanaouwawa kwa uwiano ni wachache Sana ukilinganisha na Waislamu wanaouwawa ......kiasi kuna Waislamu wanachukiana wenyewe kuliko wanavowachukia..wakristo
Sasa hizo nchi za kikristo zenye kiongozi mmoja ambae ni papa kama unavyosema.
Huko kwwnye nchi za kiislamu zinakopeleka majeshi yao kila siku na. Kwenda kumwaga damu za watu wasio na hatia na kupandikiza sectarian violences zina fuata nini??
Hatujawahi sikia hata siku moja arab countries wakideploy majesh kupeleka huko western countries.
Nani huanza ***** *****.
!
!
kwa sababu arab countries hazina uwezo wa kufanya hivyo.....nia wanayo na sababu wanayo ila uwezo hawana. Unadhani hamas, al queda, alshabab au boko haramu wakiwa na uweza wa kuvamia marekani watasita!?......acha porojo, uwezo mdogo mno wa hawa warabu ama kwa mawazo au hata vifaa hawana.....