Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu. Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha
Poleni ndugu zetu waislam
Source: Magic F. M.
Umeona msikiti watu kimnya
ni kweli kwakua mmezoea kuchoma makanisa ya watu....rejea Makanisa yaliyochomwa Mbagala, rejea makanisha yanayochomwa Znz ....!
Manachoma makanisa wenyewe kwa kugombea sadaka sio waislamu
Manachoma makanisa wenyewe kwa kugombea sadaka sio waislamu
ewe binti mrembo, mi nishaoa na nampenda 'better half' wangu!
We mjinga kweli, watu uhamaki kulingana na chanzo cha tatizo, leo mleta mada anasema ni nyaya za umeme, sio kwamba umechomwa na watu, ambavto makanisa yanakuwa yamechomwa.
Pole sana ndugu zetu wa Dodoma.Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu. Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha
Poleni ndugu zetu waislam
Source: Magic F. M.