CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Ni vitu vya kawaida Afrika. Duh!
Usipende kufungua hizo link kwa usalama wako, maana inaenda moja kwa moja kwenye fb profile yako so unaweza julikana we ni nani hata kama una fake id,ni mtazamo tu
Yani jf mnavyojihami utafkiri mna mpango wa kufanya mapinduzi