Aelezea kilichokwamisha kuundwa kwa Tanganyika kulikwamishwa na J.k. Nyerere. Asema suala hilo lilipaswa lianzie ndani ya CCM. Je! Kikao cha CC ya CCM itaridhia suala la kuundwa kwa Tanganyika? Sikiliza nawe uwasikie Kasaka, Shibuda, Jusa na Msoka!
Me nawashangaa baadhi ya watu wanaomkashifu na kumponda Jussa huyu jamaa ana hoja za msingi sana. me nataka Tanganyika yetu tu hayo mambo ya katiba ya muungano sidhani kama yana haja tena.
Ungonella usiikwepe hoja ya Jussa kitu ambacho ni kawaida kwa wanaCCM kukifanya isikilize hoja yake kwa makini,Angalia cons na prons za kile Jussa anachokiamini kisha njoo hapa kwenye forum tuchangie.Uuups nilisahau kuwa wanaCCM hawapendi kushindana kwa hoja ila hupenda kushindana kwa vioja na umbeya.Ciaooooo!